tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 26,042 Reaction score 25,446 Sep 12, 2014 #41 Zanta said: Kila mtu akitimiza wajibu wake huwezi kulalamika, soma kanuni za ukaguzi wa magari na weka kila kitu kinachotakiwa kuwepo, usumufu kama huu hauta upata. tatizo na sisi tunapenda sana mteremko ndio maana trafic wanatajirikia kwetu. Click to expand... mkuu, traffic police akikukamia hakosi kosa---atalazimisha mpaka kosa lipatikane.
Zanta said: Kila mtu akitimiza wajibu wake huwezi kulalamika, soma kanuni za ukaguzi wa magari na weka kila kitu kinachotakiwa kuwepo, usumufu kama huu hauta upata. tatizo na sisi tunapenda sana mteremko ndio maana trafic wanatajirikia kwetu. Click to expand... mkuu, traffic police akikukamia hakosi kosa---atalazimisha mpaka kosa lipatikane.
Zanta JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,028 Reaction score 796 Sep 13, 2014 #42 tpaul said: mkuu, traffic police akikukamia hakosi kosa---atalazimisha mpaka kosa lipatikane. Click to expand... Sio wote wanakamia kiongozi kama wapo ni wachache sana
tpaul said: mkuu, traffic police akikukamia hakosi kosa---atalazimisha mpaka kosa lipatikane. Click to expand... Sio wote wanakamia kiongozi kama wapo ni wachache sana