Askari wa TAWA auwawa

Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Tupia picha pendwa kutuliza maumivu ya huu msiba.
 
Kama taifa tufike sehemu tukatae huu ufugaji wa kuhamahama usio wa kisasa. Wafugaji ni chanzo cha mauaji mengi nchini. Bora tuwe na ng'ombe wachache wanaofugika kisasa kuliko maelfu ya ng'ombe wanaoleta tafrani kwenye kuwafuga.
 
Hao TAWA ndiyo walioleta chuki kwa wananchi ndiyo maana huko ngorongoro wameua SIMBA 10.

Badala ya kukaa chini na kutatua mgogoro wao ndiyo wanazidi kuweka petrol kwenye MOTO.

Kitendo cha kusema wanawatafuta waliotenda hayo maana hapo ndiyo wanaweka chumvi kwenye kidonda kIbichi.
 
Haya maisha, kuna wakati mwingine busara inahitajika sana katika kutoa maamuzi, wangetafuta mbinu nyingine kuliko kushikilia mfugo.
 
Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Hivi unahisi watu watakaa kinyonge pia?
 
Sheria batili na uchwara, watu wanechokaa.
 
Dah sasa hivi wanajuta. Normal life waliokuwa wanaishi hawataweza tena kuishi hivyo milele. Nawaonea huruma hawataacha kuona kila rangi. Hasira hasara. Haya majitu unamwachia mungu tu ni makatili balaa yani yatakavyolipiza kisasi.
Tangu mifugo yao ichukuliwe normal life haikuwepo. Wewe unaangalia tukio la uvamizi, wenzako walienda kichukuwa mifugo yao.
 
Watakuwa wamehamasishwa na wanaharakati?
Hakuna pesa kutoka nje iliyotumika kuwalipa kweli?
Au hao wachomaji walitoka nje ya nchi?
Siyo kwamba wanatuonew wivu na rasilimali zetu kweli?
Au waliwekwa kwenye makambi na kupewa mafunzo kabla
All in all alipata alichostahili akapumzike panapomstahil
 
Tangu mifugo yao ichukuliwe normal life haikuwepo. Wewe unaangalia tukio la uvamizi, wenzako walienda kichukuwa mifugo yao.
Mkuu labda hujanielewa. Siwatetei hao askari barbarians. Ila nawaonea huruma hao wafugaji. Retaliation itakuwa ya kikatili sana hadi watajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…