MTafuta tabora baada ya mwezi tena askari mmoja ananyolewa sehemu fulani. Nyie twendeni tu unadhani huyu askari sio mtanzania? Na hao unasema utawafuta sio watanzania? Kwanza kumbuka wanachuma tiyari wameimiliki kwa hiyo idadi ya askari kutoka marehemu gift itaongezeka!Hao wananchi wajiandae Kwa gharika kuu litakalokuja hivi karibuni.
Halitasalia jiwe juu ya jiwe koo na jamii zao zinaenda kufutika
Tawa Tanapa Ngorongoro Wanatumia AK 47Pole kwa Wafiwa!, ina maana Tawa ndiyo Wanatumia hizo AK 47?. hawa jamaa Kingwangalq alivyokuwa Waziri wao ndiyo aliwapa kiburi, wanauwa sana watu maenep mengi ya nchi hii...Hapo uhasama ushaingia kati ya hizo jamii na hao Tawa...Busara yapaswa kuchukua nafasi.
Meza Ya DuaraNa wananchi watakuja kufanya comeback yao ya hatari kwa muda wao.
Hatari Sana HiiDah!! Wananchi wamechafukwa.
Kabisa ni ishara mbayaHatari Sana Hii
Tunaelekea Kujulikana Unapofanyia Kazi Ni Hatari Sana Kwa FamilyKabisa ni ishara mbaya
Wajitathmini kuboresha mahusiano mazuri na wananchi wanaoishi kuzunguka hizi hifadhi wapunguze ubabe na ukatiliTunaelekea Kujulikana Unapofanyia Kazi Ni Hatari Sana Kwa Family
Nimeandika hivi siyo kwamba nawatetea maaskari bali nawaonea huruma wananchi kwani utaratibu wetu wa maaskari unajulikanaVitisho siyo suluhu ya jambo hilo kwani serikali ikilipiza itachochea chuki kubwa zidi yake.suluhu kufanya rejea ya sheria zetu.
Watu wameshachoka na uonevuDuuuh ndiyo tanzania iliyotengenezwa na CCM baada ya mauaji ya halaiki ya 29 October 2025 umwagaji damu kwa sasa umekuwa kawaida sana na raia wameamua kutoishi kinyonge tena ila huku tunakoelekea kubaya sana
Kama kuna kionhozi alisema hivyo basi viongozi waangalie kauli zao zinaleta u honganishi kwa wananchi.RIP hayo yote yataisha endapo tu utakuwa na katiba mpya.juzijuzi tu kama sikosei kiongozi mkubwa alitamka ng'ombe wakishikwa hifadhini wasitaifishwe wala kutozwa faini leo hii imekuwaje wananchi kuchukua sheria mikononi mwao.hapa napata picha kuwa yale yalikuwa matamshi yasiyo tekelezeka ndiyo maana wananchi hao wamepata hofu kuwa mifugo yao itapokonywa/kutaifishwa.sitetei vurugu bali natetea mabadiliko makubwa ya kimfumo,kisheria nk yafanyike.
Hakuna sehemu nimeona raha,ni kwamba namuonea huruma mwananchi ambaye ,Hana silaha, Hana pingu,hana mamlaka, Hamiliki mahabusu.Unaona raha hapo mwenyewe??
Mxxxiiiieeew
Wanafanya hivyo sababu sheria hizo hizo ndo zinazowakandamiza.ukiona mwananchi anachukua sheria mkononi ujue kachoshwa na dhuluma.huwezi kufuata sheria ambazo zinalinda mamlaka na kukandamiza walio wengi haiwezekani.nchi inaharibiwa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka.Hakuna sehemu nimeona raha,ni kwamba namuonea huruma mwananchi ambaye ,Hana silaha, Hana pingu,hana mamlaka, Hamiliki mahabusu.
Hapo tegemea watu kufa,watu kupotea bila sababu,pamoja na watu wengi kuswekwa selo bila ushahidi.
Inawezekana waliofanya hayo ni kikundi cha watu wachache,lakini wanaokuja kuathirika ni wengine ambao hata hawakushiriki kufanya unyama huo.
Wananchi tunapaswa kujua kuwa tunatakiwa kuishi Kwa kufuata Sheria na taratibu kuliko kujichukulia sheria mkononi,watakaoumia na kulipa ni watoto wetu na vizazi visivyohusika.
Hao na wale Maliasili ni washenzi sana, walimuua jamaa wakimdhania eti kabeba mkaa, wakamgonga kwa nyuma na jamaa akiangukia mtaloni akiwa marehemu na jamaa wakikimbia..basi ikawa bla bla ndiyo ikaishia hivyo.Tawa Tanapa Ngorongoro Wanatumia AK 47
Kuna watu Mungu awasaidie tu kwakweli, mmekwama kwenye mkwamo mzito usio na mkwamuzi Wala wakwamuzi.Duuuh ndiyo tanzania iliyotengenezwa na CCM baada ya mauaji ya halaiki ya 29 October 2025 umwagaji damu kwa sasa umekuwa kawaida sana
Poleni Sana Kuna Matukio Yanaendelea Nchini Ni Untold StoryHao na wale Maliasili ni washenzi sana, walimuua jamaa wakimdhania eti kabeba mkaa, wakamgonga kwa nyuma na jamaa akiangukia mtaloni akiwa marehemu na jamaa wakikimbia..basi ikawa bla bla ndiyo ikaishia hivyo.
Wewe na mimi nani aliyekwama??Anza kujikomboa kifikra acha undezi wa kisiCCMKuna watu Mungu awasaidie tu kwakweli, mmekwama kwenye mkwamo mzito usio na mkwamuzi Wala wakwamuzi.
Raia wanaonewa sana na wenye mamlakaWatu wameshachoka na uonevu
Nafikiri umethibitisha nilichokisema.Wewe na mimi nani aliyekwama??Anza kujikomboa kifikra acha undezi wa kisiCCM
inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹View attachment 3674339
Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) anayefahamika kwa jina la Gift Eliaika (34) mkoani Tabora (pichani), ni miongoni mwa watu sita waliouawa baada ya baadhi ya wananchi kuvamia kambi ya askari waliokamata mifugo ya wananchi kutokana mifugo hiyo kudaiwa kuingia hifadhini mkoani humo.
Katika taarifa ya jeshi la polisi mkoani humo ambayo imetolewa kwa umma Septemba 19, 2026, imesema kuwa wananchi hao walifanya uvamizi huo wakiwa na silaha za jadi wakishinikiza wapewe mifugo yao iliyokamatwa.
Kadhalika, inaelezwa kuwa tukio hilo pia limesababisha majeruhi ya watu watano, huku silaha ya kivita aina ya AK47 pamoja na gari aina ya Toyota Land Cruiser kuchomwa moto.