Tatizo la hao askari wanafikiri zaidi kinyama kuliko kibinadamu, ni sawa hiyo hifadhi, lakini hakuweza kutumia njia nyingine mbadala kumkamata badala ya kumuua? Wanyama ama samaki nini bwana! Na jamii inayozunguka hifadhi hiyo kubwa kuliko zote Tanzania wanafaidika katika nn? na hata huyo askari najua katekeleza tu sheria na bado analalamika mazingira ya kazi yalivyokuwa magumu. Imefikia wakati kupima kati ya samaki na binadamu yupi analeta maendeleo ya nchi, hao samaki wanahifadhiwa ili iweje na kwa faida ya nani? Inatia uchungu sana.Wana jamii hv kweli hii ni sawa kwa askari wa selous game kuua mwanafunzi aliyekuwa anavua samaki ndani ya hifadhi?
Ndio sawa kama ni mwanafunzi angekuwa darasani. Hao ndio majangiri wanazuga na uniform mbugani wanatafuta faru wa kikwete