brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 544
Hawa jamaa inaonyesha huwa wanasubiria mafuta na perfume wachukue yaani ni big deal kwao leo perfume yangu inakaribia kuishi walivyoishambulia kama mpira wa kona..
Sasa mkuu utaingiaje kwenye denge na perfume mkuu..... ni sheria hiyo ya anga mkuu kote duniani cyo bongo tuu soma kabla ya kuingia ndani kunabandiko Hapo airport vitu gani haviruhusiwi......
kwa hiyo nikifikanianze shoping upya?
Ok ,unaweka kwenye bag lile kubwa ambalo huwa huingii nalo ndani,kwenye handbag hairuhusiwi any liquid,pressurized container
pole bwana mimi niliadithiwa na mtu eti hata maji ya kunywa huendi nayo.. hata lotion nakwambia... nataka mtu wakunipa offer ya kupanda ndege nibebe maji nione kama nitarudishwa
Njoo nikupe ofa tupande treni ya Mwakyembe tuone kama tutakatazwa.
kwa hiyo lazima nisafiri na begi kubwa linawekwa wapi?samahani naona umesema haliingii ndani.
pole bwana mimi niliadithiwa na mtu eti hata maji ya kunywa huendi nayo.. hata lotion nakwambia... nataka mtu wakunipa offer ya kupanda ndege nibebe maji nione kama nitarudishwa
perfumes inaruhusiwa ila iwe chini ya 100ml la sivyo iweke kwenye begi na iwe check in yaani mzigo unaokaa kwenye buti la ndege sio wa kuingia nao kwenye cabin