ushahidi si ni faini aloniandikia wakati kosa sina ,,,side mirror ina crack ndogo sana
Sijui kama watakusikiliza hao wakubwa...
Hivi hujui kuwa hao wazee wa favor hutakiwa kupeleka hesabu kwa wakubwa...
OK. kwani side mirror yako haijakreki..?? maana rushwa yake haiwezi tumika kama utetezi wa makosa yako
Kamanda Mpinga askari wako wa barabarani (Trafik) mwenye Namba F.3652. Ni mfupi mweupe. Leo muda mfupi uliopita kanisimamisha nikiwa naendesha gari maeneo ya makutano ya barabara ya shekilango na Morogoro, baada ya kuona sina kosa akanambia nimpe elfu 10,000 niende nikakataa akaamua kuniandikia faini eti side mirror ina cracks. TAKUKURU na wanaohusika mchunguzeni.
ushahidi si ni faini aloniandikia wakati kosa sina ,,,side mirror ina crack ndogo sana
side mirror kweli imepasuka? na kama imepasuka ni kosa au si kosa ambalo ulistahihi kulipa fine?
trafiki atakua ndugu ako si bureWewe acha u bushlawyer krek ni krek tu kama haungekuwa na kosa si ungeenda nae kituoni.