hard core
Member
- Jan 11, 2015
- 46
- 28
Na. Julius Mtatiro,
Mapambano yaendee, askari amekufa mstari wa mbele wakati vita inakaribia kuisha, ni bahati mbaya, chukueni mwili wake, upeni heshima zote za mwisho kisha uhifadhini na kukumbuka mchango wa askari huyo.
Si muda wa kumbeza na kumsimanga, si muda wa kumuombea mabaya.
Wanaweza kufa askari wengi sana dakika za mwisho za mapigano lakini kusaka ushindi vitani ni jukumu la askari waliobakia, hata wakibaki wachache ni lazima washikamane na vita iendelee, huu siyo wakati wa kujiuliza kama sababu za kuingia vitani zilikuwa sahihi au la, huu siyo muda wa kuacha vita na kuanza mjadala juu ya askari shupavu aliyeuawa mstari wa mbele, huu ni muda wa kupigana vita, vitani hakuna msalie mtume na ukitaka salamu ya upande wa adui umeshakaribisha kifo chako.
Vita haina macho, yeyote yule anaweza kuuawa.
juliusmtatiri@yahoo.com,