Askari Polisi nao ni binadamu

Based on tukio lilipo tokea na mazingira yenyewe. Only people with guns walikuwa polisi. Na polisi ndio walio fyatua risasi hewani.
 
Ni RAIA gani atathubutu kufya risasi kwenye taflani kama ile?atajiamini vipi nauku kuna polisi
 

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa
 
ni raia mwema tuu mimi mkuu na ndio maana mwanzonikatanguliza nipo tayari kukosolewa,hivo ni mawazo yangu
Ulishawahi hata siku moja kuona raia wakiandamana wakiwa na bunduki?
Na iwapo ingekuwa ni waandamanaji wangeua polisi siyo raia.
Tanzania sema hatujaendelea kwenye forensic investigation wangepata risasi iliyomuua yule binti wangeweza kujua ilitoka kwenye bunduki ya askari sani maana kila bunduki ina identical prints inazoacha wenye risasi
 
Hiyo risasi imetoka kwa watu wasiojulikana ila Mungu ni mwema ndo maana leo kaamua kuwaonesha hadharani kwa kupitia kumuua huyo mwanafunzi... Angekuwa ni dadangu sidhani kama ningeruhusu kiongozi yeyote ang'ae msibani.. Kwani ningechafuka faru nyuma.. Ningewanyima hata viti vya kukalia
 
Asee unacho sema ni sahihi.
Lakini pia na sisi tunaitaji kujua tumekose wapi kwa tukio zima hili
 
Kama unaamini uwepo wa Mwenyezi Mungu nenda kaombe toba yako, siyo kwa mauwaji bali kwa hiki ulichoandika hapa.
 
Hakika n vigumu polisi kutoka katika mambo haya n ndio tatizo cha kwanza DHULUMA cha pili KUSHITAKI KWA UONGO tatu KUTO RIDHIKA NA MISHAHARA YAO (RUSHWA) hakika hayabndo shda kwao na daima wataish maisha duni kutokana na hayaa
 
bila shaka wewe ni polisi
 
hahaa
 
Crap
Katika watu wa CHADEMA kuna mtu alikuwa amebeba bunduki?
Ushasahau mauaji ya watu wa tatu Arusha ambayo yalifinyika kama ya huyu mwanafunzi?
 
Crap
Katika watu wa CHADEMA kuna mtu alikuwa amebeba bunduki?
Ushasahau mauaji ya watu wa tatu Arusha ambayo yalifinyika kama ya huyu mwanafunzi?
Chama la wanyang'anyi daimaa hutumia mabavu na vyombo vya dola na c vingenevyoo hawana lakutuambia tena bali sasa tulazimishwa na ukiwa against ujue utapotelea kusiko julikana kama sio kifooo
 
Kutumia siraha ya moto kwa watu wasio na hata fimbo ni kosa mkuu polisi walitakiwa kwenda na vilungu tu hakukuwa na vita huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…