wacha sheria ichukue mkondo wake,
badala ya kumsaidia raia wako kapata majanga wewe tena unamuumiza hakika huo si ubinaadamu.
hongera kwa mtoa taarifa ni mfano wa kuigwa na wengine wanapo ombwa kutoa rushwa ya fedha au hata ya ngono kutoa taarifa haraka ili muhusika anaswe....naamini kwa mwendo huu tutaitokomeza rushwaaa.