Ataipata, mamlaka zimuangalie kwa jicho la pekee maana pale ni highway. Vipi kama Gari ingekuwa inakuja toka huko lilipotokea full gear na break ikashindikana? Ndio maana nikasema ni busara sana kubwa aliyoifanya kuwaondoa watu walio tayari kukabiliana na kifo kwa namna yeyote ile. Maua yake kwa busara zake kwa kweli na maua yake Lissu pia kukubali waongee pembeni...