Askari mpaka wamefarakana

Jamaa kapigwa na kile kifaa cha umeme lakini kidume kikaendelea kutoa kichapo.
 
Jamaa Yupo vizuri,askari wetu wangempiga na risasi ya moto tu halafu wakatuambia ni jambazi Maana hizo ngumi hawaziwezi Hadi wanatumia meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…