Askari Monument: Kasi mpya au ya zamani?

KASI mpya una maana Gani kuuliza HiVyO. Me nachoona wanafanya kama marekebisho kuipa muonekano mpya.. Naomba kujuzwa zaid
 
KASI mpya una maana Gani kuuliza HiVyO. Me nachoona wanafanya kama marekebisho kuipa muonekano mpya.. Naomba kujuzwa zaid
Mkuu wewe huoni hakuna kinachoendelea?
Watu bado wako Krismasi!
Ngoja arudi JPM toka Singida!
 
Wametoa maua...na palikua panapendeza
 
Hiyo ndo dar mpya ya mheshimiwa makonda,yetu macho
 
Punguza munkari ndugu... huoni hilo tangazo la biashara la Green kufanya nini sijui?! Kama ulitarajia tufanye haraka ili na hatimae tangazo letu tuliondoe haraka sana basi niseme tu am sorry!! Unaharakisha vipi kuondoa tangazo kwenye eneo zuri kama hilo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…