Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

Askari Korea Kaskazini waasi Urusi

FB_IMG_17235517499389283.jpg
 
Nilitegemea hili jambo.Hata kama ningekua mimi ningekimbia.Korea wanabana sana raia hata kwa watumishi wa umma ni tabu tupu.
 
hao wana kesi ya uhaini na adhabu yao ni kunyongwa.

hao hawarudi Korea wala kwenda Urusi.
Nchi za kifashisti hizi, yaani hao wakidakwa wanakufa, tena wanakufa kwa mateso makali.
 
Back
Top Bottom