Askari Jeshi (MP) vipi barabarani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari Jeshi (MP) vipi barabarani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jul 6, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiwaona askari jeshi (MP) wakiranda randa barabarani hasa nyakati za asubuh hapa Dari, kama askari wa kawaida.Sijaelewa wanafanya kazi ya polisi,au ya wale wa usalama barabarani kukamata magari au?.Mwenye kujua tafadhali tujuzane.
   
 2. u

  ureni JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Wakirandaranda mtaani wapi,mbagala?mtwara?au kenya,kwani hawaruhusiwi kutoka?na wao si binadamu kama wewe
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Sehemu kibao Dar kama Mwenge,Ubungo,Kurasini,kwenye vituo au mataa.Wako kijeshi na wanaonekana kikazi hivi
   
Loading...