wanaishaje wakati wanauana wawili depo wapo 3000 bado mwezi waje mtaani!Polisi wauane wooote waishe. Amina
Hatua za kisheria kwa maana alikosea kushika bastola au mhalifu alifanya dawa kugeuza uelekeo wa risasiTaarifa hiyo imeeleza kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaidi, huku mtuhumiwa akiendelea kushikiliwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Yale yale ya AquilinaHatua za kisheria kwa maana alikosea kushika bastola au mhalifu alifanya dawa kugeuza uelekeo wa risasi
Dog 🐕 Kala Dog.Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eliuterius Hyera, aliyekuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Chiungutwa wilayani Masasi, amefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari mwenzie.
Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Nicodemus Katembo leo Februari 03, 2024, imeeleza kuwa askari hao walikuwa kwenye jukumu la ukamataji wa mtuhumiwa anayedaiwa kuvunja ofisi (Haikutajwa) na kuiba.
“Mtuhumiwa huyo alianza kukimbia ili asikamatwe ndipo Askari aliyekuwa na bastola alipofyatua risasi kwa lengo la kufanikisha ukamataji na ikapelekea kumjeruhi Mkaguzi huyo.
Juhudi za kuokoa maisha yake zilifanyika kwa kupelekwa Hospitali ya Ndanda ambapo alifariki dunia akiendelea na matibabu.” Imeeleza taarifa ya ACP Katembo.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaidi, huku mtuhumiwa akiendelea kushikiliwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Source - CloudsTv
Ameingia kwenye mfumo...Ukute ukamatqji ulikuwa na manufaa huu! Tangu lini mkuu wa kituo inspector mzima akaenda kukamata
Maelezo ya kamanda hayajanyooka na hayajitoshelezi. Angekuwa raia ingeamriwa awekwe chini ya ulinzi ahojiwe zaidi.Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eliuterius Hyera, aliyekuwa Mkuu wa Kituo Kidogo cha Polisi Chiungutwa wilayani Masasi, amefariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari mwenzie.
Taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Nicodemus Katembo leo Februari 03, 2024, imeeleza kuwa askari hao walikuwa kwenye jukumu la ukamataji wa mtuhumiwa anayedaiwa kuvunja ofisi (Haikutajwa) na kuiba.
“Mtuhumiwa huyo alianza kukimbia ili asikamatwe ndipo Askari aliyekuwa na bastola alipofyatua risasi kwa lengo la kufanikisha ukamataji na ikapelekea kumjeruhi Mkaguzi huyo.
Juhudi za kuokoa maisha yake zilifanyika kwa kupelekwa Hospitali ya Ndanda ambapo alifariki dunia akiendelea na matibabu.” Imeeleza taarifa ya ACP Katembo.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaidi, huku mtuhumiwa akiendelea kushikiliwa kwa hatua zaidi za kisheria.
Source - CloudsTv
Umeona ee?!!! Mi mwenyewe baada ya kusoma nimeshangaaDaah kichwa cha habari ni kama tukio la kukusudia habari za namna hii zinaandikwa magazeti ya Ijumaa...
Nadhani mods wangeweka kichwa cha habari sawa kuliko hivi kilivyo...Umeona ee?!!! Mi mwenyewe baada ya kusoma nimeshangaa
Mtuhumiwa huyo alianza kukimbia ili asikamatwe ndipo Askari aliyekuwa na bastola alipofyatua risasi kwa lengo la kufanikisha ukamataji na ikapelekea kumjeruhi Mkaguzi huyo.
Mbona haijaelezwa ni namna gani mtuhumiwa alikamatwa mara baada ya askari polisi kujeruhiana? Au wamemfanya askari mwenye bastola kuwa mtuhumiwa pia??Taarifa hiyo imeeleza kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitalini hapo kwa uchunguzi zaidi, huku mtuhumiwa akiendelea kushikiliwa kwa hatua zaidi za kisheria.