Askari ala kichapo Kimara mwisho

Askari ala kichapo Kimara mwisho

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,206
Reaction score
1,252
Askari wa usalama barabarani ala kipogo na wananchi wenye hasira kali baada ya kumlazimisha dereva wa roli kuondosha lori lake lilokuwa limezima injini barabarani kwa kulisukuma.
 
Ccm inahusika vipi na uvivu wa kufikiri wa huyo askari? Sielewi atii...
 
Mh CDM na siasa zao nyepesii! Hapo ccm wameusika vp??

Hapo nami sijaelewa. Kuabudu siasa too much kunawaharibu watu.Kuna siku mtu mumewe au mkewe atatoka nje ya ndoa atasema sababu ya CCM au CDM.
 
Askari wa usalama barabarani ala kipogo na wananchi wenye hasira kali baada ya kumlazimisha dereva wa roli kuondosha lori lake lilokuwa limenock engine barabarani kwa kulisukuma.jamaa alipewa kichapo na raia wenye uwezo wa kufikiri na kumuona jamaa kilaza raia wamemsaidia dereva kwani alikuwa anaonewa.jaman hii ni hatima ya ccm.

Wewe ni janga la taifa na thinking capacity yako is too low askari kupigwa na wananchi una sema hawa maccm sasa wewe unatumia vigezo gani kumjua alokuwa chadema au cuf au ccm wacha ujinga wako au umesha vuta bangi?
 
wapigwe tu tumechoka-by pm
 
kuhusika ama kutohusika kwa ccm kutatokana na tafsri ya mtu husika, pengne kawaza kwamba uongozi mbovu ndio uliomuweka askar mbovu aliethubutu kumwambia mtu asukume lori lililoknock engine..LAKINI kwanini wananchi wampge askar, je? Alkuwa anamlazmisha dereva kwa kumpga au kwa maneno? Je gari hlo limekaa hapo kwa muda gani? Ni wananchi wangapi wamempga askari mmoja? Sababu ya kumuonea pekee bila kuambatana na taarifa nyngne haina mashiko. Askari ni bnadam na sidhan kama pale alimwambia aondoe gar ili yeye (askari) aptshe gar lake bali wananchi.
 
Wewe ni janga la taifa na thinking capacity yako is too low askari kupigwa na wananchi una sema hawa maccm sasa wewe unatumia vigezo gani kumjua alokuwa chadema au cuf au ccm wacha ujinga wako au umesha vuta bangi?

Kilaza mkubwa wewe,yaani umeshindwa hata kuelewa why nailaumu ccm kwa hili,pole ntakusaidia baadaye kidogo kukuelimisha
 
Hapo nami sijaelewa. Kuabudu siasa too much kunawaharibu watu.Kuna siku mtu mumewe au mkewe atatoka nje ya ndoa atasema sababu ya CCM au CDM.

Ukikua utaelewa.........
 
Hapo nami sijaelewa. Kuabudu siasa too much kunawaharibu watu.Kuna siku mtu mumewe au mkewe atatoka nje ya ndoa atasema sababu ya CCM au CDM.
Unaona Eeeeh! Sijui hapo uccm unatokea wapi? Fikra Mgando hizo!
 
Wewe ni janga la taifa na thinking capacity yako is too low askari kupigwa na wananchi una sema hawa maccm sasa wewe unatumia vigezo gani kumjua alokuwa chadema au cuf au ccm wacha ujinga wako au umesha vuta bangi?
Mkuu,sio bangi tu, na viroba vilivyo expire! Sasa lile lori lingesababisha ajali hapo lilipokuwa pia wangesema ccm hao! Yani chadomo nijanga lakitaifa!:angry:
 
askari naye mtu sii ajabu,mbona sugu alipokea kichapo toka polis hamjasema nyie mnaokunwa na ujinga wa chadema?
 
Na mi nasema wapigwe tu hakuna njia nyingine manake tumechoka. By PINDA!
 
Back
Top Bottom