binadamu wa kwanza ktk historia tunaambiwa alitokana na nyani... rejea evolution of man...
kwenye maandiko tunaambiwa tunatokana na ADAM na HAWA, je wewe kama historian unaamini wapi ? toa hoja kusapoti jibu lako
Anhaaaa namjua huyu mtu ahsante sana, inaaemekanà alizaaa sana na wanawake wengi mpaka leo ukichukua watu kumi basi nane wanatoka kwenye bloodline yake...
Ila aliendesha vita sana na kuua watu huyu kiumbe...

Tactics zake alizotumia mpaka leo zinatumika fundishia jeshi!..Kaburi lake halijulikani mpaka leo, majenerali wake walipoteza ushahidi wa wapi kazikwa!...Atabaki kumbukwa kwa kuruhusu uvumilivu wa dini mbalimbali kwenye empire yake pamoja na ukubwa ilokua nao!!.