Ask me anything about passwords


I like that part ki ki ki ki ki!
 
forum admin naomba mfute hiyo post .................hiyo post mmeichakachua..sikupost broken english mimi
.......forum admin you need to apologise for these..nahama forum yenu or i will launch DoS attacks on you..or i will shut down your little forum

hahahahahahaha dem boyz alwayz make a noiz....
 
wivu sina ila roho inauma.................

Hapo kidogo afadhali, roho kuuma ni dalili kwamba uanaanza kustaarabika mkuu! Hapa waungwana hua wanamwaga taaluma na ujuzi na kutoa suluhu mbalimbali za changamoto za wadau zinazowakabili katika eneo la ICT.
 
forum admin naomba mfute hiyo post .................hiyo post mmeichakachua..sikupost broken english mimi
.......forum admin you need to apologise for these..nahama forum yenu or i will launch DoS attacks on you..or i will shut down your little forum
i dare you tolive by your threats!wanna see some action!
 
forum admin naomba mfute hiyo post .................hiyo post mmeichakachua..sikupost broken english mimi
.......forum admin you need to apologise for these..nahama forum yenu or i will launch DoS attacks on you..or i will shut down your little forum

teh! teh! teh! we si mtaalamu wa password afu unaomba msaada kwa admin? teh. teh.
 

Lool.... people bhaana.
 

maneno yote hayo yanaonyesha hujiamini. hide your......
 
forum admin naomba mfute hiyo post .................hiyo post mmeichakachua..sikupost broken english mimi
.......forum admin you need to apologise for these..nahama forum yenu or i will launch DoS attacks on you..or i will shut down your little forum
Only sometimes it is better to be quiet,I doubt if you are capable of doing what you are saying you might do.Really,just launch the Dos we already have your mobile number and that make me rate you very low as a person who knows security because how can you threaten people and you have already displayed your mobile number.
Now you need to apologize to them and to the forum members or we should start displaying the real you? ,you may say you were just kidding,How can we be sure?Are the initials for your full name not A.Y?You apologise not we dig deeper.
Now if someone else do what you said you might do,do you agree that now you are the prime suspect bearing in mind there are a lot of free tools for that?
Anyone can do Dos but few know how to cover the track and you are not among the few.
If you can walk the talk then you have the green light.You can choose your actions but you can not choose the consequences of your action.
I strongly believe you are learning and possibly you are on introduction to everything ,this is a very respectful forum with people who are intelligent beyond your imagination.
 
hasa kujua initial za majina yangu ndo kuwa deeper.....
hata mtoto mdogo anaweza fanya hiyo........kujua my mobile no. and my initials is not enough to know who am i..........
 
Hapo kidogo afadhali, roho kuuma ni dalili kwamba uanaanza kustaarabika mkuu! Hapa waungwana hua wanamwaga taaluma na ujuzi na kutoa suluhu mbalimbali za changamoto za wadau zinazowakabili katika eneo la ICT.
i mean hao wanaocomment utumbo roho zao zinauma...............wengine watoto wadogo wacheza magemu tu....
 
Mmmmmmm kama kuna dalili za wizi vile.
wabongo bwana kila kitu.wanafikiri kuibiwa.........hapo ni nafanya kurudisha password ya protected datum zako...........for intance...ulikuwa na biashara yako then ulikuwa unatumia the business management software kumanage business zako...then ikitokea umesahau password ya system yako..then hapo inabidi unotafute mtu kama mimi nikurudishie password yako then uendelee na biashara yako
 
What is your point exactly? you sound more of a terrorist, Professional Tech guys don't posses the quality of yours!
kwani gaidi ni nani according to your views?????????yeah mimi ni gaidi!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…