Asiyemshukuru mume wake, Hamshukuru Mola wake.

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
47,776
Reaction score
257,639
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema,
“Mwenyezi Mungu Hamuangalii mwanamke ambaye hamshukuru mume wake na wakati huo huo hawezi kufanya lolote bila ya mumewe”

Ewe mke mkarimu wa Kiislamu, kwa hakika mume wako anapigana na maisha magumu na kupambana ili kupata tonge la maisha na baada ya hapo anabeba mzigo wa familia, hivyo mdhanie vizuri daima, mshukuru yeye na Mola wako daima, wala usikikosoe kile akiletacho kwa ajili yako na ya familia, usikidharau na kukishusha thamani yake na kutokuridhika kuishi pamoja nae.
 

Shukran Ukhiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…