Asipokupenda atakuona kinyaa

Ni kweli.
Kuna watu wametumia pesa nyingi mpaka wengine wamesomesha wanawake lakini wameishia kuachwa.
Pesa kazi yake ni kurahisisha mahitaji ila hayakufanyi upendwe na mwanamke.
 
Hii ni tabia ya wanawake wengi kama sio wote kuwaona wanaume kama takataka Fulani.Nachoshukuru Mungu ni kuwa wanaume hatuna hii tabia.

Usipopendwa kubali usijishushie heshima kama mwanaume kisa K.

NB;HAIHUSIANI NA KUPENDWA KIMAPENZI
Hawafikagi popote, wanarudi kutukumbuka na kuanza kutuma vi text vya kuponda kumbe anataka tension ili apate pa kuanzia upya
 
Hii ni tabia ya wanawake wengi kama sio wote kuwaona wanaume kama takataka Fulani.Nachoshukuru Mungu ni kuwa wanaume hatuna hii tabia.

Usipopendwa kubali usijishushie heshima kama mwanaume kisa K.

NB;HAIHUSIANI NA KUPENDWA KIMAPENZI
Uongoo aisee nyie ni aibu tu mnaabisha mtu akupendaye na siyekupenda mnajikomba
 
Kuna jamaa jamaa hatari,ila mke wake wa ndoa Wana watoto watatu,anatembea na dereva wa roli...na dereva akiwa mjini ana cruise tu mandinga ya tajiri na matumizi yote juu ya muke ya tajiri.....
 
Hii ni tabia ya wanawake wengi kama sio wote kuwaona wanaume kama takataka Fulani.Nachoshukuru Mungu ni kuwa wanaume hatuna hii tabia.

Usipopendwa kubali usijishushie heshima kama mwanaume kisa K.

NB;HAIHUSIANI NA KUPENDWA KIMAPENZI
Kwa mila za kiAfrika, k k sukari inachuliwa kama amana yenye thamani.

Ndiyo maana inahodhiwa kwa kuitolea mahari.

Kama mila zinatuongoza hivyo, mimi ni nani niende kinyume na kujifanya kichwa ngumu?

Nitatongoza kwa unyenyekevu na nikitakiwa kuhonga nitahonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…