Asipokupenda atakuona kinyaa

Sisi wanaume umpende mtu, usimpende, kama anakupa k utajikuta unakula tuu, ila asikuombe pesa, ambaye hapendwi akiomba pesa ndo mwisho wa mahusinao na ndio anaanza kuonekana takataka
 
Unaweza kumpa hela halafu kuna mshikaji akawa ndiyo anatumia hela yako tena kwa pesa zako ndizo zikawa zinalipia guest house na kodi kwa mshikaji.
Kama unafikiri pesa ndiyo kila kitu kwenye mapenzi, nakupa pole sana.
Ni kweli , kutumia nguvu ya pesa kumshawishi Kwa kweli hamna kitu labda kama unataka upige per once na kukimbia , Ila kama unatumia pesa et akuelewe ukae sahau hyo ni hasara tuu, kingine sio lazima kila binti akuelewe , kama amezingua basi ina mana anamwelewa mwingine mwisho wa sku wewe utaishia kuwa ATM....anayeelekea upande wako huyo ndo move nae
 
Sawa, Pesa inaweza kuwa siyo kila kitu lakini ina nafasi kubwa, asikudanganye mtu..
View attachment 2748104
Unatakiwa ujue kuwa "mwanamke hajui anachokitaka kwenye mapenzi"
Pesa ina nafasi hata kama upo single.
Kuna story nilisikiliza efm, hiki kipindi hurushwa saa moja kama na nusu.
Kuna jamaa alikuwa na pesa, kazi yake alikuwa anauza magari. Akaingia mahusiano na mwanamke mmoja hivi ila yule mwanamke alimpenda jamaa hana hata maisha, jamaa akiomba hela, mwanamke anatoa hadi guest analipia, mpaka akamzalia mtoto wa kike, alichokuwa anafanya, anatumia hela ya mwanaume kununua viwanja, ajenge akimaliza amuache jamaa. Ni story ya kusikitisha sana.
Kama unafikiri ukiwa na pesa ndiyo utapendwa ni jambo la kushangaza sana.
Kuna jamaa anapesa lakini mke wake anagongwa na boda boda tena jamaa hana mbele wa nyuma.
Mwanamke akikupenda utaishi maisha mazuri sana na wala siyo pesa
 
Bodaboda ambaye Hana mbele wala nyuma yukoje??
 
NAKAZIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…