Zawadi haiwezi kuwa genuine huku ikiwa imetolewa na serikali feki. Nasema ni serikali feki kwa sababu kwa mwenendo wake, ni wazi imekosa uhalali wa kuongoza. Hasa tukizingatia hiyo elimu yenyewe ilivyo kwa sasa, sidhani kama ni halali serikali kumpongeza yeyote, wakati inajua wazi kuwa elimu inachukuliwa kisiasa zaidi na kwa sasa hata tofauti kati ya kufeli na kufaulu hakuna.
Vinginevyo sioni tofauti ni ipi, wakati waliofeli hawawezi kusoma wala kuandika na waliofaulu hawajui hata majina yao! Halafu katika mazingira ya serikali ya aina hiyo mtegemee zawadi genuine. Zawadi genuine zitatolewa na serikali genuine. Serikali feki itaendelea kutoa zawadi feki kwa matokeo feki.
hata hivyo zawad ya fedha sio nzuri sana kwa wanafunz walitakiwa kupewa vitu kama laptops,nk ambavyo vingeonekana on the spot kuzuia uharifu na utapeli wa serikali sikivu.
lakini laptop mpya na chakavu zinaweza kutambuliwa japo nakubali kwamba wezi wanazo njia nyingi za kufanikisha mambo yao.Wangewapa chakavu
Based on reality.Zawadi haiwezi kuwa genuine huku ikiwa imetolewa na serikali feki. Nasema ni serikali feki kwa sababu kwa mwenendo wake, ni wazi imekosa uhalali wa kuongoza. Hasa tukizingatia hiyo elimu yenyewe ilivyo kwa sasa, sidhani kama ni halali serikali kumpongeza yeyote, wakati inajua wazi kuwa elimu inachukuliwa kisiasa zaidi na kwa sasa hata tofauti kati ya kufeli na kufaulu hakuna.