Asilimia kubwa ya watu maarufu ni wanaigiza maisha!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Ule msemo wa wahenga kwamba umaridadi huficha umaskini watu wameufanyia kazi kweli kweli!
Utakuta mtu anasema anamiliki milioni 500 lakini akiumwa gafla na matibabu yanahitajika milioni 2tsh anaanza kulilia lia mitandaoni watu wamchangie!
Mimi mbinu ninayoipenda hata nikimiliki 1.5 trillion natangaza sina pesa kabisa nimefilisika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom