Asilimia Kubwa ya Ulichowahi Kusikia Kuhusu Nyoka ni Uongo na Hadithi za Kutunga Tu!

Kama wewe unasafiri na gari kupitia mapori mazito ukichoka na ukitaka kulala chini ya gari lako mwaga Diesel kuzunguka sehemu unayolala hakuna nyoka anyependa harufu ya Diesel
Hata kama kuna shimo mwagia dizeli tu utwaona wakitoka kama wamekuja kulazimishwa waende kujiandikisha kupiga kura.
 
Hahahhahqha
 
Hii naisikia Leo mkuu,kma uko poa nikupe hata email yangu unitumie hiyo video
 
Natamani ningekuwa na eneo nikafuga nyoka wasio na sumu. Inaelekea nyoka ni rafiki mzuri maana kibiblia huwa nawaza alianzaanzeje kupiga stori na Hawa pale edeni kama siyo good friend. Inaelekea hata Adamu alikuwa anapiga naye stori daily.
 
So mkuu..we ni mvuta bangi sio?
 
Unasema tu nyoka wana faida nyingi, unaweza kutuambia faida hizo ni zipi?
 
Natamani ningekuwa na eneo nikafuga nyoka wasio na sumu. Inaelekea nyoka ni rafiki mzuri maana kibiblia huwa nawaza alianzaanzeje kupiga stori na Hawa pale edeni kama siyo good friend. Inaelekea hata Adamu alikuwa anapiga naye stori daily.

wataanza kupiga stori na mkeo afu madhara yawe makubwa kuliko ya Adam (joking)
 
Mimi nawafuatilia nyoka nina maswali yafuatayo;
1. Ni aina gani ya nyoka ula nyoka wenzake?
2.Ni kwa nini mbwa ujipeleka kwa chatu na kuliwa kirahisi sana.Ina maana chatu utumia nguvu za giza kwenye uwindaji wake?
 
Hii nimeipenda jibu lake. Ila kwa nini mtu afuge nyoka? Mbona ni kiumbe kisichovutia kabisaaa sana sana mi nikiona mtu anakutana Mara kwa Mara Na nyoka naamini huyo mtu ana mkosi
 
Zipo njia za kuwafukuza nyoka kama ifuatavyo.

1 mafuta ya kondoo.
Kama ni sehemu la shimo unapohisi kuna nyoka pakaa mafuta kidogo ya kondoo nyoka hawawezi kuvumilia harufu kali ya mafuta ya kondoo hivyo watahama mara moja eneo hilo.

Ikiwa ni nyumbani kwako weka kichupa kidogo cha mafuta ya kondoo kiache wazi harufu yake nyoka hawawezi kusogea.

2 Oil chafu:
Kama sehemu unayoishi ina nyoka wengi paka oil chafu kidogo kuzunguka ukuta wa nyumba yako haitatokea nyoka akakatiza maana na hapa ikitokea akaigusa kwa bahati mbaya basi atakatika vipande vipande hapo hapo.

Hii ni experience yangu kwa nyoka kama Koboko na Swila.
 
mkuu mi nyoka nawafahamu saana kunamambo mengine umeandika ni yakweli na kuna aina ya nyoka ambao hawana sumu kabisa mi ninao wafahamu ni mlalo tu. ila kuna huyo wanemwita koboko ni hatari afu mi ni pacha na babu alikua chifu alinifundisha mambo mengi kuhusu nyoka.kuwafukuza,kuhamisha vichuguu na mambo mengine mengii kuhusu nyoka.
 
Oil chafu mi pia nina experience nayo, ukipaka nyoka hagusi hilo eneo
 
Ahahahaaa
13. Swali ? Je Nyoka ndio kiumbe asiopendwa na wanadamu kuliko vyote ?

JIBU NI NDIO nasio na Wanadamu tu, bali na Mungu pia, Kwani nyoka ndio aliyesababisha tukafukuzwa Eden, maisha yamekuwa magumu kwaajili ya Nyoka.
 
Reactions: vvm
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…