Asilimia kubwa ya majimbo yananunulika

Asilimia kubwa ya majimbo yananunulika

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Kwanza mtanisamehe sana kwa mwandiko mbaya na mpangilio mbovu wa aya yote hayo yanasababishwa na mimi kuishia elimu ya msingi..

Naandika thread hii nikiwa na machukungu sana na hali ya kisiasa ya nchi yetu ni mbaya sana.

Sasa rasmi kikundi kichache tu cha watu kinanaamua nani?

Awe mbuge, nani awe diwani na nani awe mwenyekiti wa kijiji. kwa diwani na mwenyekiti tunaweza tukaona sawa kwa sababu malupulupu ni kichache tofauti na wabunge, nilijaribu kuwafitilia pesa anayopata mbuge kwa mwezi ni pesa ndefu sana kama 13M Ni sawa na 156m kwa mwaka.

Wajumbe wa jimbo letu ccm ni wajumbe 468 ukiwahonga 2k kila mmoja sawa na 936m ambayo kwa mwaka mmoja tu pesa inarudi na faida juu. mimi niko kijijini hali ya maisha ya wajumbe ukimpa 2k anaweza kukuita hata Mungu.

Huku kwetu ukipita kwenye kura za maoni ccm elewa 98% ushakuwa mbuge tiyari. Ccm najua munatumia nguvu kubwa kuhahikisha mnaviua chama pizani tafuteni sasa njia bora ya kura za maoni ikiwezekana wanainchi wa jimbo husika tuwe na aces ya
 
Kwanza mtanisamehe sana kwa mwandiko mbaya na mpangilio mbovu wa aya yote hayo yanasababishwa na mimi kuishia elimu ya msingi..

Naandika thread hii nikiwa na machukungu sana na hali ya kisiasa ya nchi yetu ni mbaya sana.
sasa rasmi kikundi kichache tu cha watu kinanaamua nani? awe mbuge, nani awe diwani na nani awe mwenyekiti wa kijiji. kwa diwani na mwenyekiti tunaweza tukaona sawa kwa sababu malupulupu ni kichache tofauti na wabunge, nilijaribu kuwafitilia pesa anayopata mbuge kwa mwezi ni pesa ndefu sana kama 13M Ni sawa na 1.56B kwa mwaka. wajumbe wa jimbo letu ccm ni wajumbe 468 ukiwahonga 1m kila mmoja sawa na 468m ambayo kwa mwaka mmoja tu pesa inarudi na faida juu. mimi niko kijijini hali ya maisha ya wajumbe ukimpa 1m anaweza kukuita hata Mungu. Huku kwetu ukipita kwenye kura za maoni ccm elewa 98% ushakuwa mbuge tiyari. Ccm najua munatumia nguvu kubwa kuhahikisha mnaviua chama pizani tafuteni sasa njia bora ya kura za maoni ikiwezekana wanainchi wa jimbo husika tuwe na aces ya kupga kura
vyovyote itakavyokua lazima uchaguzi ufanyike bila mbambamba za mtu yeyote :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom