Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,443
- Thread starter
- #21
Mm nilifikiri ni asilimia 90 ya walio kwenye hizo dini, meaning we the atheists have been excluded. Japo census iliyopita iliyoonyesha wapagani Tanzania ni zaidi ya asilimia 10 na less than 20%.
Unalolisema lina ukweli........... ukweli ni kwamba nilishindwa kudadavua hesabu zangu vizuri.................... naomba radhi kwa hilo.