Asilimia 88 ya wananchi wanaamini Tanzania ni salama

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
westgate.jpg

LICHA ya kuwepo kwa vikundi vya itikadi kali pamoja na matukio ya kigaidi, lakini asilimia 88 ya wananchi wanaamini kwamba Tanzania ni salama, FikraPevu inaripoti.

Utafiti uliofanywa na shirika la Twaweza unaeleza pia kwamba, asilimia 61 ya wananchi wanaamini kuwa Afrika Mashariki yote iko salama.

Kwa mujibu wa utafiti huo wa awamu ya tatu wa njia ya simu uliofanyika kati ya ....

Kwa habari zaidi, soma hapa => Asilimia 88 ya wananchi wanaamini Tanzania ni salama | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom