utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,846
- 2,512
Hapo sawa .Hapana sio asilimia 60 ni asilimia 90
Mkuu utafanya waanze mbio kwa kalimanzila kule msumbijiUnauliza kwanini?
Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa wengi ndio walikuwa wanakubalika na wajumbe sasa wanarudi na mbinu zile zile kuchukua majimbo yao.
Pia wengi waliokatwa 2020 walikuwa Ccm asilia kwa sababu mkulu nae alihitaji kuwa na timu yake na Ccm ambayo angekuwa na nguvu yake lakini kwasasa kumbukeni nchi imeshikwa na Asilia na watu wao lazima warudi na damu changu za asilia kama mimi 2025 tunachukua majimbo.
Ipo siku mtanielewa vizuri.
Kuna uwezekano huo mkuu ngoja muda ufike tuone mtanangeHapana sio asilimia 60 ni asilimia 90
Muda wenyewe ndio huu,,wengine washaanza tayariMkuu utafanya waanze mbio kwa kalimanzila kule msumbiji
sawaUnauliza kwanini?
Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa wengi ndio walikuwa wanakubalika na wajumbe sasa wanarudi na mbinu zile zile kuchukua majimbo yao.
Pia wengi waliokatwa 2020 walikuwa Ccm asilia kwa sababu mkulu nae alihitaji kuwa na timu yake na Ccm ambayo angekuwa na nguvu yake lakini kwasasa kumbukeni nchi imeshikwa na Asilia na watu wao lazima warudi na damu changu za asilia kama mimi 2025 tunachukua majimbo.
Ipo siku mtanielewa vizuri.
SahihiKwa katiba iliyopo usishangae wakarudi wote kama walivyo. CCM wanatambua hawakubaliki kabisa ila ni nguvu ya dola huwasaidia kurejea madarakani kila uchaguzi unapofanyika.
Kwa kuwa nao wanalitambua hilo ndio maana hawaitaki tena Katiba iliyopendekezwa na bunge la katiba mpya, kwa sasa wao wansema "katiba mya siyo lazima iwe ile iliyopendekezwa na Bunge la katiba" Wanafikiria kuanza upya mchakato wa katiba mpya ili wachakachue yale yaliyopendekezwa na tume ya Jaji Warioba.
Washaanza kuloganaLazima kieleweke,CCM asilia hawakupenda kabisa walivyokatwakatwa na JPM.Wanarudi kupambana.Hakika watapasuana wao kwa wao majimboni,bado homa ya upinzani,dadeki.