Asilimia 30 ya wanaokufa wanachukuliwa msykule

Asilimia 30 ya wanaokufa wanachukuliwa msykule

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,888
Sikutishi nakwambia tu ujijue asilimia kubwa awafi kwa mapenzi ya mungu kama tunavyojidanganya

watanzania ni wakati wa kusema no imetosha jamani....kama wewe ni mmoja wao wa wanaofanyakazi ya kuchukua.msukule tumeanza maombi rasmi kwa ajili yenu

kamanalivyoondoka msomanyota. Mwaka. Huu tutawamaliza wote mliojipangankutesa
watu uvunguni

kama wamwamini yesu

sema 2014 sitozika msukule
.sitozika. Mgomba kwa jina. La yesu

naiwe kwako kama ulivyosema
 
Pdidy una vituko kinoma mtu wangu, yaani mimi huwa skuelewi kabisa mkuu.
 
Nuru NA GIZA AVIENDANI USIUMIZE KICHWA KUNIELEWA MKUU

HIYO NI MAANDIKO NA LAZIMA YATIMIE

NA KUTIMIA KAMA HUJUKU KWI KWK WAPI WEEKEND
 
Pdidy njoo kuna jamaa anatumia ID yako hapa!
 
Mh!
kamanalivyoondoka msomanyota. Mwaka. Huu tutawamaliza wote.

mkuu ile kitu umetumia kung'oa mkuyu na mi naomba, kuna kamti ka mwembe nafikiria jinsi ya kuutoa.
 
"wamejivisha u-know-how safina zao zikatoboka,wakajivisha u-mussa fimbo zao hazikugeuka nyoka,sasa wanaujaribu u-mungu mtu kuamua nani leo atatoka?"
 
Tutawatambua kwa matendo yaoo
 
Mkuu, una-JF live kutoka Goma, Kinshasa, kwa Kagame au Beijing? Manake huwa napata shida sana kuelewa kiswahili chako Pdidy.
 
Last edited by a moderator:
wachawi wanawatafutia watu utajiri wakati wao si matajiri.
 
Back
Top Bottom