Asili ya shikamoo

Asili ya shikamoo

KITWANGAUTAM

Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
80
Reaction score
18
Wanajamvi mwenye kufahamu kitabu au jarida la historia au lugha ya Kiswahili linalozungumza juu ya asili ya shikamoo, atupie jina la kitabu na mwandishi.
 
Yaaap,maanayake ilikuwa kipindi cha utawala wa waarabu na nene shikamoo linamaana kwamba nipo chini ya miguu yako,nadhani umeelewa japo kidogo,wajuzi wanakuja mpwa relax
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom