yale yale!! eti wakashindwa kusema hivi ikawa vile, ni nadharia tu. katika sayansi nadharia haikatazwi, ni jinsi ya kuithibitisha tu.hili neno limetokana na greek poem "theodyssey" the poem ilikua intended to be heard rather than be read bt kukatokea mabadiliko kutokana na art iliyotumika kufikisha uo ujumbe! so the conversion of somethn unachopaswa kuskia ikawekwa into writtings ndo scholars wanaita theodyssey badae in tanzania hii terminology ikawa introduced na prof mmoja wa engineering pale udsm bt students wakawa wanashindwa kulitamka wakafupsha to desa thus giv rise to the famous word among tanzaniab scholars i.e DESA
Ha ha haaaa nimekumbuka bibo life it was funny
NGUIN=NGWINI,
Ili jina walipewa wanafunzi wote wasiosoma Engeneering, Mwanzo lilikuwa ni jina la wanafunzi wanosoma Arts na lilitokana na kuwa vitabu vingi vya arts vilikuwa published na PENGUIN,
baadae jina likaamia kwa wanafunzi wote walikuwa nje ya gate la engeneering including science.
so NGUIN au NGWINI ni ufupisho wa PENGUIN
Asili yake ni kutokana na novel ya Frederick Forsyth inayoitwa " Odessa file" ambapo neno "Odessa" likafupishwa na kuwa "Desa" ikimaanisha file la kuibia wakati mitihani:cool2:Waungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?
Vipi kuhusu Vimbweta?
nenda muulize mtu anaitwa Museven eti asili ya neno hili manake ndo muasisi wa neno hili enzi hizo tukiwaa tunasomaWaungwana vyuoni kama pale Udsm na ardhi hupenda sana kutumia neno hilo kumaanisha kusoma, madafutari, vitabu na hata kuibia mtihani. He linaanzia wapo?