Asili ya nchi ya Afrika ya Kusini

Nawashukuru sana kwa ufafanuzi wenu wa hili, naendelea kusubiria ufafanuzi zaidi, nikiamini wapo wengine watakuja kulifafanua zaidi hili.

Ahsante!
 
Vipi kuhusu central africa kwa catherine samapanwa? mbona hujauliza?
 
Mkuu , kwani na TANZANIA (la kupewa) NALO NI JINA LA ASILIA ...!????! JINA ASILI NINI LIPI??
 
Miaka iyo ni mandalay,woodstock,guguletu,nyanga na kayelitsha na kidogo saltliver, wynberg na Athlone kwa PAGAD hapo..usafiri ni iyege tkt za treni za kuchanja za wiki za mwezi kwa michael hapo Mandalay..
 
Tutambuane jamani? Hii ni Hill brow Johannesburg au Cape Town Athlone, Belleville, Mitchell's plain au George Town?
KUNJANI,
Mimi niko 'Bongo' (Tanzania), ila niliwahi kuishi kidogo Swaziland (Mananga Management) na kutembelea Kidogo South Africa (J'burg Wadeville na Durban) na kujifunza maneno machache.

SALA KAHLE.
 
dah slim5 kumbe ulikuwepo pande zangu za biavo,ulikuwa unakaa pande zipi biavo?
 
Nauza gari aina ya gx 100 nyeupe namba ni auq, ,gharama ni.million 3. Tuu,anayetaka anicheki kwa 0712 7516 99.
 
Unauhakika kuwa TANZANIA ni jina la kupewa?
Kama ni la kupewa tulipewa na nani?
Hivi kama huijui hata historia ya nchi yako je ya wengine utaijuwa? tulikuwa tunaitwa German East Africa then Tanganyika na tulipoungana na Zanzibar ndio ikazaliwa Tanzania.
 
Nauza gari aina ya gx 100 nyeupe namba ni auq, ,gharama ni.million 3. Tuu,anayetaka anicheki kwa 0712 7516 99.

Sema unauza screpa na siyo gari. peleka kwa wale wanaokatakata na kuuza used parts unapata pesa usijidamganye kama una gari hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…