Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Dizonga - daah ahsante sana mkuu, ngoja labda watakuja wengine kutuambia, kwa nini hili jina siyo maarufu.
Ahsante!
Kwahiyo United Kingdom raia wakeambao hawajui kiswahili wanajuwa kwamba nchi yao sisi tunaiita UINGEREZA?inaitwa South Africa, ndio jina lake, wala sio Afrika kusini, wenyewe hawajui kama kuna kitu kinaitwa Afrika kusini.pia kuna nchi nyingine inaitwa central Africa
Hizo unazijuwa wewe,bila kusahau saurthen sudan na nourth sudan
Quiniso Nkosi. Ngiyabonga kakhulu ongqongqoshe wami.Duh!!!! Dizonga!!!! Hilo ni jina wabongo wa Sauzi wanapenda kuiita ile nchi. Mie nimeishi huko kwa muda mrefu na nimeoa huko, japo kwa sasa ninaishi bongo na huyo waifu na watoto niko nao hapa Bongo. Nakubaliana na wewe majina yapo, ila hawakubaliani nayo kwa sababu ya nani anayatoa. Wazulu, WaXhosa, Waswati, Wandebele wanaiita Mzantsi Africa, Watswana, Wasotho na Wapedi wanaiita Africa Borwaa, Watsonga wanaiita nDizimu Africa, WaAfrikaneer wanaiita Zeid Afrikanche, na Waingereza wanaiita South Africa. Maana ya majina yote hayo,ni moja yaani Africa ya Kusini. Ila, kuna jina ambalo wote wanalikubali ambalo inasemekana lilikuwa linatumika sana enzi za kugombania uhuru wao,nalo ni Azania. Tatizo hilo jina lilitumiwa sana na wapigania uhuru wa vyama vya Azapo ( Azanian Peoples Organization) na PAC ( Pan Africanist Congress of Azania) wakati ANC ( African National Congress) walitumia South Africa. Sasa ANC haitaki kutumia jina la Azania kwa sababu itavipa hivyo vyama credit zaidi. Kwa kweli kuna mgongano na mgogoro mkubwa sana huko juu ya jina la Africa ya Kusini. Weusi wanataka nchi yao itambulike kwa jina la asili yaani Azania badala ya eneo la kijiografia yaani Afrika ya Kusini. Inasemekana pwani ya kuanzia Durban kwenda Xhluxhluwe, Port Alfred, Port Shepstone, mpaka Port Elizabeth, hadi Cape Town zamani sana ilijulikana kama Pwani ya Azania.
uya khuluma bhuti uhlala phi?Quiniso Nkosi. Ngiyabonga kakhulu ongqongqoshe wami.
Duh!!!! Dizonga!!!! Hilo ni jina wabongo wa Sauzi wanapenda kuiita ile nchi. Mie nimeishi huko kwa muda mrefu na nimeoa huko, japo kwa sasa ninaishi bongo na huyo waifu na watoto niko nao hapa Bongo. Nakubaliana na wewe majina yapo, ila hawakubaliani nayo kwa sababu ya nani anayatoa. Wazulu, WaXhosa, Waswati, Wandebele wanaiita Mzantsi Africa, Watswana, Wasotho na Wapedi wanaiita Africa Borwaa, Watsonga wanaiita nDizimu Africa, WaAfrikaneer wanaiita Zeid Afrikanche, na Waingereza wanaiita South Africa. Maana ya majina yote hayo,ni moja yaani Africa ya Kusini. Ila, kuna jina ambalo wote wanalikubali ambalo inasemekana lilikuwa linatumika sana enzi za kugombania uhuru wao,nalo ni Azania. Tatizo hilo jina lilitumiwa sana na wapigania uhuru wa vyama vya Azapo ( Azanian Peoples Organization) na PAC ( Pan Africanist Congress of Azania) wakati ANC ( African National Congress) walitumia South Africa. Sasa ANC haitaki kutumia jina la Azania kwa sababu itavipa hivyo vyama credit zaidi. Kwa kweli kuna mgongano na mgogoro mkubwa sana huko juu ya jina la Africa ya Kusini. Weusi wanataka nchi yao itambulike kwa jina la asili yaani Azania badala ya eneo la kijiografia yaani Afrika ya Kusini. Inasemekana pwani ya kuanzia Durban kwenda Xhluxhluwe, Port Alfred, Port Shepstone, mpaka Port Elizabeth, hadi Cape Town zamani sana ilijulikana kama Pwani ya Azania.
Jina mbona lipo inaitwa Dizonga...tatizo ni nani anayetoa jina la nchi kwahiyohiyo mfano uliyotoa
Quiniso Nkosi. Ngiyabonga kakhulu ongqongqoshe wami.
Naona mmeanza kunena Kwa lugha...huuu Uzi sijui una mapepooo!!
Duh!!!! Dizonga!!!! Hilo ni jina wabongo wa Sauzi wanapenda kuiita ile nchi. Mie nimeishi huko kwa muda mrefu na nimeoa huko, japo kwa sasa ninaishi bongo na huyo waifu na watoto niko nao hapa Bongo. Nakubaliana na wewe majina yapo, ila hawakubaliani nayo kwa sababu ya nani anayatoa. Wazulu, WaXhosa, Waswati, Wandebele wanaiita Mzantsi Africa, Watswana, Wasotho na Wapedi wanaiita Africa Borwaa, Watsonga wanaiita nDizimu Africa, WaAfrikaneer wanaiita Zeid Afrikanche, na Waingereza wanaiita South Africa. Maana ya majina yote hayo,ni moja yaani Africa ya Kusini. Ila, kuna jina ambalo wote wanalikubali ambalo inasemekana lilikuwa linatumika sana enzi za kugombania uhuru wao,nalo ni Azania. Tatizo hilo jina lilitumiwa sana na wapigania uhuru wa vyama vya Azapo ( Azanian Peoples Organization) na PAC ( Pan Africanist Congress of Azania) wakati ANC ( African National Congress) walitumia South Africa. Sasa ANC haitaki kutumia jina la Azania kwa sababu itavipa hivyo vyama credit zaidi. Kwa kweli kuna mgongano na mgogoro mkubwa sana huko juu ya jina la Africa ya Kusini. Weusi wanataka nchi yao itambulike kwa jina la asili yaani Azania badala ya eneo la kijiografia yaani Afrika ya Kusini. Inasemekana pwani ya kuanzia Durban kwenda Xhluxhluwe, Port Alfred, Port Shepstone, mpaka Port Elizabeth, hadi Cape Town zamani sana ilijulikana kama Pwani ya Azania.
Nilikaa cape Town, maeneo ya Belleville na Mitchell's Plain, sikuwahi kujua km kuna mgogoro wa jina la nchi