The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Hapa hakuna lakushika utashikwa wewe ukizubaa chakufanya fungua kizibo ibariki nafsi wenye kuleta stori walete tu huku tunaduguda!Kwenye brands kunakuwa na stories nyingi saana hasa ndugu zetu motivational speakers..
Wengine wanasema limetokana na 7 ingredients...tushike lipi?
Jamaa katupiga kambaRed Bull kipindi wanaanzisha kampuni walitumia mbinu ya kutupa makopo tupu ya Red Bull mitaani, hasa kwenye sehemu za burudani , stand za magari na treni na vilabu vya usiku, ili kuunda hisia kwamba kinywaji hicho kilikuwa maarufu sana na kinanyweka kwa wingi.
Mbinu hii ilipelekea watu wazidi kununua zaidi kinywaji hiko wakifikiria kuna kitu cha ziada kwa sababu ilionekana kinanyweka zaidi.
ngoja nifanye reseatch mkuu..Jamaa katupiga kamba
7up maana yake ni kuwa imara siku Saba za week