naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,090
Mzee Yamungu alishafarikiKuliwahi kuwa na mkuu wa wilaya mmoja akiitwa james Yamungu alikuwa mwenye asili ya mkoa wa RUVUMA wilaya ya nyasa yaani mnyasa. Sijui yuko wapi yule bwana .
Mzee Yamungu alishafarikiKuliwahi kuwa na mkuu wa wilaya mmoja akiitwa james Yamungu alikuwa mwenye asili ya mkoa wa RUVUMA wilaya ya nyasa yaani mnyasa. Sijui yuko wapi yule bwana .
Mkoa wa Kigoma kwa uvamizi wa wahamiaji haramu umeshika namba moja kila mhamiaji haramu kwao utasikia ni kigoma...wilaya ya Buhigwe hasa huko munanila ambapo ni karibu na boda ndo kabisa panatia shaka asilimia kubwa ya watu wa huko ni warundi...na manyovu kiujumla pia..na hilo jina lake ni la kirundi kabisa...
Bila kusahau sirari Tarime na holili RomboHali kama hii utaikuta Mtwara, Kagera, Kyela, tunduma na Namanga.
Watu wa kigoma(waha) hawana majina hayo ya kayandabira.Huyu bwana namjua vzr sana kwao ni mkoa wa kigoma wilaya ya buhigwe kata ya mnanila kijiji cha nyakimwe mbunge wake anaitwa Albert Ntabaliba Obama yule mwenye bondeni bar za kulikuwa na river between bar..
Amesoma sekondari MILAMBO TABORA
udsm bachelor masterz zimbabwe phd uk...
Kama jina halina asili ya Tanzania, je! ni wapi huko ambako asili ya jina hilo linapatikana?Jina linaweza kuwa halina asili ya Tanzania lakini ni mzalendo
Wekeni picha yake wadau wajionee wenyewe wao ndio waamua hii mutu ni ya wapi!!!!!!!!!!!!!
Asante mkuu. Wakati mwingine majina ya akina Banda na Okello unaweza kuhisi wamehamia Tz jana kumbe wako hapa tokea vita ya mdachi