Asikwambie Mtu, Mapenzi ni Heshima

Asikwambie Mtu, Mapenzi ni Heshima

Ndoa hushikiliwa na vingi ila kikubwa ni maombi then upendo...kila siku inatakiwa umuone mwenzako ni mpya kabisa na ujitahidi kucontrol hasira zako na mihemuko...always fanya informed decision na upime madhara kabla ya kufanya decision!!
 
Back
Top Bottom