STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Heshima ndio inatunza ndoa, sio upendo. Ile hali
ya ulavidavi wa mwanzoni, yani watu mnakiss
kama vile mnataka kumezana, ni kama bando la
MB 10 haikawii kukata! Baada ya hapo, kinachomfanya baby asiende kummeza mtu
mwingine kwa mabusu, ni heshima tu...nayo
ikipotea atakusaliti hata kama alikupenda bure
bila VAT