Asikari wa jiji na udharirishaji wanawake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asikari wa jiji na udharirishaji wanawake!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by KakaKiiza, Jan 7, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Jiji.jpg Utadhani siyo mtanzania mwenzao au ameiba kweli huu ni udharirishaji wa hali ya juu!
   
 2. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  asikari-askari
  udharirishaji- udhalilishaji
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Alafu aliemshika mwanamke mwenzake!Wawe wastaarabu kidogo!
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Wewe soma kama unataka kuwa mwalimu sema nikuelekeze wapi wanahitaji walimu!!Naona una hamu!
   
 5. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  KK, Labda kama ilikuwa ni kamatakamata ila pia anaweza kuwa majeruhi anapewa msaada, au mgonjwa wa akili anahifadhiwa ni mtazamo tu!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hatujui huyu mama alifanya nini halafu itifaki imezingatiwa kwakuwa waliombeba ni wanawake wenzake.
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,496
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kaka wewe kabila gani?
  Uzaririshaji mhh???????????
   
 8. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamaa aliyenishauri nijiunge na hii forum aliniambia kuwa humu kuna great thinkers who share their ideas and contribution. kwakuwa nataka kujifunza ndio maana niko humu, sasa mkuu nina kosa gani kukurekebisha hapo sijafanya hivyo kwamba mimi mjuaji ila kwakuwa naamini niliowakuta humu wanajua kuliko mimi (wewe mmojawapo)
   
 9. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi ni lini askari na raia wataangaliana kama avatar ya Lizzy Masa?
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Na ukaambiwa wote humu JF ni waswahili??Hakuna wazaire,wazambia,wakenya,waganda,hivyo unataka kulazimisha kiswahili unachujua wewe nawengine waongee hicho??wasahau lugha zao kwakuwa uliambiwa humu ni great thinker only lna ugha za mawasiliano ziwe moja kiswahili cha kikwele,kizaramo,etc??huyo aliyekushauri,changanya na zakwako utanielewa!
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Mimi mjomba wako hivyo nikabila la................
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hahahaha!Siku watakapoanza kutumikia wananchi ipasavyo!
   
 13. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vipi ungaLTD kwema huko? wewe haukupata hii brutality ya polisi juzi? naskia ilianzia NMC
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mmh mi nilikimbilia Moshi kujificha!
   
 15. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du, poleni jamani, mmekua wakimbizi ndani ya nchi yenu, police brutality should be banned!!
   
 16. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tutakapopata uhuru wa kweli!
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,947
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Yani we acha tu!Alafu kila siku tunadanganyana tuna amani kumbe hata uhuru hatuna!
   
 19. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 354
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  nimekuelewa mkuu
   
 20. H

  Hute JF-Expert Member

  #20
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,048
  Likes Received: 2,322
  Trophy Points: 280
  hamna udhalilishaji hapo kwasababu hao waliombeba ni wanawake wenzie...ndio maadili ya polisi hayo...wangekuwa wamembeba wanaume, lingekuwa jambo lingine.
   
Loading...