Jim007 2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 395
- 247
Hati ya Manyara Ranch yarejeshwa Kwa Wananchi.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amerejesha Ardhi ya Manyara Ranch Kwa wananchi wa vijiji wa Esilalei Na Ortukai Wilayani Monduli (acre 44,000).
Waziri Mkuu amekabidhi Hati ya umiliki wa Shamba Hilo Kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Monduli Ndg. Steven Ulaya Kwa niaba ya wananchi alipokua Akizungumza Na wananchi wa Monduli Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Mto wa Mbu.
Alisema wakati wa wananchi umefika wa kumiliki Ardhi Yao Na kufanya shughuli zitakazowaongezea kipato kutoka kwenye Ardhi Yao.
Shamba La Manyara Ranch lilichukuliwa Na Taasisi ya TLCT ( tanzania land conservation Trust) Kwa zaidi ya miaka kumi sasa lakin hivi sasa umiliki wa Ardhi hiyo umerejeshwa Kwa wananchi.
Hongera sana Serikali ya Awamu ya Tano
Hongera Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Hongera Kwa Waziri Mkuu
HongeRa Kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha