Ashery Chilewa

Ashery Chilewa

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,729
Reaction score
7,426
Huyu mtangazaji hivi sasa anaendesha kipindi cha ujumbe katika muziki,ana sauti nzuri na anatangaza vizuri na kwa hisia.

Ameanza na wimbo wa sauda aliyepata mimba nje ya ndoa wakati mumewe yuko jamaica,ni wimbo mzuri sana wa juwata.Nampongeza sana
 
Huyu mtangazaji hivi sasa anaendesha kioindi cha ujumbe katika muziki,ana sauti nzuri na anatangaza vizuri na kwa hisia.Ameanza na wimbo wa sauda aliyepenfa mimba nje ya ndoa wakati mumewe yuko jamaica,ni wimbo mzuri sana wa juwata.Nampongeza sana
kwani ni mwanamke? Mume wa nani aliyeko jamaika?
 
fimboyaukwaju aisee nimeamini kuna binadamu tunafanana sanaa kihisia na kifikira.

Huyu jamaa Ashery Chilewa ana sauti nzuri sanaa ya utangazaji hasa anaposimulia nyimbo za zamani Zilipendwa ananifanya nikumbukie Maisha ya miaka ya 80 na 90 yalivyokua mazuri.

Kongore sana kwako Mkuu kwa kuleta uzi huu, I Salute 🫡
 
Asante na ni mwanamziki pia maana huwa anaimba
 
Kipindi chake ni siku gani? Huwezi amini nipo hapahapa Tanganyika lakini toka nisikie sauti yake ni miaka zaidi ya kumi wakti huo tunasikiliza radio ya familia aina ya National.
Alex Magwiza pia yupo?
 
tafadhali yule ndugu alituahidi kutuleteawimbo wa asheli chilewa afanye hivyo.
 
Back
Top Bottom