GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,413
- 127,499
Umejuaje kuwa wanawake hujisitiri hata mbele ya wenzao?
kuna msemo wanasema "mwanamke kaumbwa na haya" kwahyo nahis ndio kitu kinachowakumba
Hatimaye umeupata umbea, umetumiwa PM au kwenye vyanzo vyako.Siyo uwendawazimu Mkuu?
Hata ukipata majibu,,, itakusaidia nini hasa,,,???umri wako please...
Hatimaye umeupata umbea, umetumiwa PM au kwenye vyanzo vyako.
hapa hatutukanani ila hata kama ukitukana sitashangaa kwa sababu watu wa aina yenu matusi ndio headquarter yake kama ulivyosema,wengi wetu tumesoma boarding tunakaa vifua wazi,tunatembea na vibukta ila si kuonyeshana maungo ya siri,ili iweje?kwa lengo gani?aone mwenzako and then?utembee uchi mwanaume mwenzako akuone makalio halafu?kama ulikuwa na hyo tabia naanza kuwa na wasiwasi na ww yaani ww mwanaume uliyekamilika unatembea wanaume wenzako wankuona makalio halafu unasema kawaida?
ni mawili ima una matatizo ya akili au ni ubwabwa.
Nilikuwa nikipenda sana kuwachungulia wakiwa Hostelini mwao na kuna siku moja nakumbuka nilikuwa nimeingia kumwangalia Dada mmoja hivi alikuwa mgonjwa katika Hostel ya Dada zetu ndipo nikajifunza na hayo mengineyo na kwa Wanawake hiyo ni tabia " endelevu ". Sijui una swali lingine tena Mkuu kwani leo nimejaa tele!
oooh kumbe ww ni ubwabwa,ahsante kwa matangazo yako,na nadhani ndio lilikuwa lengo la huu uzi wako,haya wenye mapenzi yao na hyo kitu washakuskia subiria pm nyingiiiii,halafu mara nyengine ukitaka kuleta jambo hapa usizunguke njoo straight,maana ndio muda wako huu shule zimefungwaYawezekana nikawa ni " Bwabwa " ila nilimuiga Babako ambaye ni Mwandamizi wa hiyo fani. Nasubiri urudi nimalize Kazi!
achana na hiki kitoto kina matatizo,chenyewe kimesema hapa kama ni ka ubwabwa kasikuumize kichwaNimeishi bwenini/Hostel zaidi ya miaka 9, sijawahi ona nyeti za ninaoishi nao.
Hata home kwenye extended family sijawahi ona ,ingawa tunakuwa wengi kwenye single room