Asenga Abubakar wa CCM alikoroga ITV


ndo huyu Zero!
 
Huyu ni mtupu bora apuuzwe.
 

Hivi kanuni unazielewa kweli au unaleta Ushabiki wa Man U na Liverpool! Kanuni iko wazi kama zilivyosomwa na Marcus kwamba endapo Spika anaona kuna dalili yoyote ya kutokea fujo bungeni anatakiwa kuhairisha bunge kisha kufuata taratibu zinazotakiwa. Ikiwa ni pamoja na kuwafikisha mbele ya kamati ya nidhamu ya bunge na mambo mengine na si vinginevyo. Tatizo la Ndugai ni kupanic kama muadhirika hasa anapoona aliyesimama ni kutoka CDM aun upinzani. Kanuni ziko wazi. Embu tuambie Ndugai alifuata kanuni ipi na kwanini kama alifuata kanuni bado vurugu zilitokea bungeni? Askari hawakutakiwa na wala hawaruhusiwi kuingia ndani ya bunge. Anayetakiwa ni Mpambe wa Bunge kitu ambacho Ndigai hakufanya hivyo. Sheria sio vitendo useme utaonyeshwa "slow motion" kama mpira wa miguu ama mchezo mwingine wowote ili ujue kosa lilikuwa wapi. Ndio maana kanuni zonaandaliwa kwanza utekelezaji unafuata. Kanuni za Mabunge ya Jumuiya ya Madola ambayo sisi ni wanachama yanatamka wazi kwamba ndani ya Bunge Waziri Mkuu na Kiongozi kambi ya upinzani wote ni sawa. Akisimama Waziri mkuu Spika lazima ampe nafasi hali kadhalika akisimama kiongozi wa kambi ya upinzani lazima spika ampe nafasi. Hii ni kwa mujibu wa kanuni kwamba kama kanuni hiyo haipo ndani ya kanuni zetu za bunge basi tunatumia kanuni za mambunge ya Jumuia ya Madola. Mate yanakuruka kuandika upashkuna. Kwa nini Ndugai aliamua kutoa Msamaha mapema ni kwa sababu alijua keshachemka kwa hiyo lazima atfute namna ya kujiokoa. Angekuwa katolewa Sugu tu wala asin geahangaika kuto Msamaha. Alafu jiulize kwa nini akiwa Ndugai anaongoza bunge ndio vurugu zinatokea? Ina maana kuna shida na anatumika vibaya kama Condom. Tukileta ushabiki kwenye maslahi mya Taifa hatutafika mabali. Tutabaki tunatishiwa na vinchi vidogo kama RWANDA kitu ambacho ni aibu kubwa sana. Ndio maana wabunge wa upinzani walipotoka nje na bunge kuendele hakuna cha Maana walichochangia wabunge wa CCM zaidi ya kulaumu na kutoa maneno ya kejeli kwa wapinzani. Walikua nje ya mada badala ya kujadili kilichoko mwzani wanajeuza bunge kama Genge la wanywa kahawa.
 
Yani Great Thinkers mmeishiwa hoja hadi mnamleta Abubakar Asenga hapa?
 
Tatizo akil ndogo kuongoza akl kubwa dogo umekata tamaa mwalimu alishasema mtu akikuambia jambo la kipumbavu nawe ukajua nila kipumbavu halafu ukalikubal atakudharau kwa hiyo kama ndugai amefanya jambo la kipumbavu nawe ukatumia muda wako kuutetea tutakudharau nenda kajipange urud upya
 
Asenga kichwa maji namfaham vizur toka tukiwa chuo pale udom upeo wke mdgo sanaa
 
Asenga wa Pakaya = Kilombero Yetu= Asenga Abubakar kabla ya yote atuambie nini kilimfanya akasilimu????? au ndo masharti baada ya kumjua baba yake????
 
yule ni mmoja ya wanachama vilaza wa ccm na katu hastahili kupewa air time ya kujadiliwa hapa jukwaani
 

takataka tupu, hamna kitu zaidi ya ugoro.

uyo dogo hana reasoning yeyote, jana nimemuona anaongea with no logic and reasoning kama yuko kwenye debate za shule za msingi enzi zile.

kama unamjua mwambie siasa haziwezi kabisa,
kama ndo wewe unazuga basi nakushauri siasa huwezi nenda ukajaribu walau ubunifu wa mavazi tena hasa mavazi ya kike.
 
Mwanasheria kiraza wa lumumba

Hivi ni kweli huyu Assenga Abubakar ni Mwanasheria???? huyu jamaa ana elimu ya Chuo kikuu kweli???
Kama kweli huyu jamaa ni graduate basi elimu ya Tanzania inapaswa kuangaliwa upya,

Kwa ufupi nimesoma post nyingi sana za huyu jamaa facebook na jf lakini hakuna siku niliwaza kama huyu atakua ana elimu ya Chuo Kikuu kwa jinsi anavyoandika na kujenga hoja zake. Bado siimini kama Assenga Abubakar ni msomi wa Chuo Kikuu. Naomba mnithibitishie ili nijue na chuo gani alisoma akamaliza.

Yani naye ni Mwanasheria kama Tundu Lissu??? i doubt
 

Alidisco OUT
 
Alidisco OUT

At least ninaweza kuamini hili.
Lakini waandaji wa vipindi vya TV na Redio wanatumia vigezo gani kuita watu kuja kuzungumzia mambo ya msingi kama haya??? Hivi hawakwepo vijana kama akina Mnyika, Halima Mdee n.k n.k?? mbona hata CCM wanao vijana wasomi wenye uwezo wa kujenga hoja?? au wasomi wao wanaona aibu kushindwa kuitetea CCM hadharani???

Au kama alitumwa na chama chake, ndio CCM wanataka kutuonesha kuwa hao ndio vijana wao wa chama??? Katika watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujenga hoja unaweza kumjulisha na Assenga Abubakar ( for my scale)
 
[h=2]Asenga Abubakar = kilombero yetu[/h]
Utetezi na mpagilio wa hoja unathibitisha kwamba mleta hoja hapa jf, ndiye aliyeiweka hoja hii huko facebook
 
haha....nilimuona huyu dogo zaidi ya mara moja ktk TV ni aina ya Nape..ka expire kabla hajatoka..... alikuwa kitema pumba na kutoelewa sana alichokua akiongea..inaelekea uswahili wanamkubali sana...hakuw akaijua amani ni nini, hakuwa akijua matamko ya tundu lissu, hakuwa mwishowe alinza lazimisha sana alipoambia mud aumeisha...magamba ni wajinga kawashawishi na kuwatisha wakadhani ni nyota inayong`aa......kafanana na mwenzie mmoja ambaye makwaia humpandiah ajukwaa kutoka UDSM. Wote wana twiste views za kijamaa..
 

Mi sijasoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…