AseeLindi ni kijijini wazee

Lindi sasa inazidi kukua.. watu wanajenga hadi ufukweni huko..😆
 
Yawezekana maana nilitoka kitambo
Fanya utembelee Tena Lindi Ule samaki wabichi, supu ya pwezi na maundambu mengine kama hayo..

Unawajua ngisi wewe..!!😃
Halllow Lindi Raha saaaana
 
Wanawake wa kule sio wachoyo kabla haujafuga mlango ameshavua kila kitu ni mishanga tu mwedemwede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…