Hakuna upendo wala chuki, ni kudhibitiana tabia za asili, UNAKUMBUKA ALLY CHOKI ALIVYOWAWEZA NA: MIKONO JUU AKIWA TWANGA? wanajuana hawa, kosa moja goli kadhaa.
Hakuna kuaminiana kwenye masuala ya pochi, kila mtu aanike mikono yake hadharani to prove usalama!