Ndio nani?Wapii flora mbasha..
Remote ipo Meza ya pili siwezi kuinuka kuifuata Labda uje unisogezee otherwise wacha niendelee kuanagalia channel ten maana Kuna msanii mwingine na huku pia.
Hahahahahahaha nimecheka kwa sauti aiseeRemote ipo Meza ya pili siwezi kuinuka kuifuata Labda uje unisogezee otherwise wacha niendelee kuanagalia channel ten maana Kuna msanii mwingine na huku pia.
Mchepuko wakeNdio nani?
Weka ushahidi we mchinaMchepuko wake
tofauti na mosukule?Habari wanajamvi?
Hebu Mungu atubariki tuangalie Startv kipindi cha Gwajima anaongelea mambo muhimu ambayo hatuyafahamu.
Mmbarikiwe
Huyu bwana ananifurahishaga sana na staili yake ya kupokea sadaka lazima akupe tanoRemote ipo Meza ya pili siwezi kuinuka kuifuata Labda uje unisogezee otherwise wacha niendelee kuanagalia channel ten maana Kuna msanii mwingine na huku pia.
Toa ushahidi aliemfufua . Mbona aendi mochwari kule ?Wacha upuuzi anafufua watu