Asasi ya kazi kwa vijana

Asasi ya kazi kwa vijana

cagu

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
79
Reaction score
12
Changia maendeleo ya vijana. Tuanzishe Asasi itakayojihusisha moja kwa moja na ajira kwa vijana na hasa graduates. Hii itasaidia kupambana na janga hili la ukosefu wa ajira kwa vijana. Na kutoa muongozo mzuri kwa vijana wanaoomba kazi sehemu mbalimbali iwe katika Private sector au Government, na kuwe na ufuatiliaji wa nafasi za kazi zinazotangazwa na kama kweli wanaajiri bila ubaguzi. Tayari mchakato umeanza kuisajili Asasi hii itakayoitwa ‘Youth Alliance Employment Network’. Kwasasa makao makuu yatakuwepo pale Mabibo Mwisho Karibu na TGNP. Kwa watakaopenda kuwa members karibuni, kiingilio ni 5000. Unaweza kutuma kwa M-pesa 0765 291297 au Tigo pesa 0713 373875. Pia tunawaomba vijana wote na watu wenye mapenzi mema kusaidia kwa kutuma chochote kwenye namba hizo hapo Juu ili tuweze kupata Asasi ya kuwatetea vijana na kufuatilia masuala ya ajira kwa vijana. Kwani vijana wengi wanasifa za kufanya kazi lakini wanabaki kuzurula mtaani bila ajira wakati wengine wanaingizwa kazini bila kuwa na sifa. Kwa watakao taka kuwa members, unapotuma hela ya kiingilio pia tuma jina lako na namba yako ya simu.
Tuchangie ili kuwakomboa Vijana wetu na wimbi hili la ukosefu wa ajira.
M-pesa 0765 291297 au Tigo pesa 0713 373875
 
naona umeamua kujiajiri kihivyo. hivi unataka kusaidia vijana wenzio au unataka kukandamiza? kiingilio cha elf 5 ni kikubwa kwa asiye na kipato. halafu unajua ukosefu wa ajira tanzania unatokana na nini?
 
Back
Top Bottom