mndenge pro
Member
- Apr 11, 2016
- 19
- 5
Nitakuwa nmekosa fadhira kama ntaacha kutoa shukrani zangu za dhati kwa wana Jf,Mara ya kwanza niltoa post yenye kichwa packaging and labelling nikiomba msaada kwa watu wenye ujuz na mambo hayo , na Shukuru mungu respond ya wadau haikuwa mbaya , nilpata msaada kwa MTU wa nguvu bwana Alpha hakusita kutoa msaada pale alpo Iona hyo post, nashukuru sana mpaka sasa Nina mwanga ktk safar ni iendeayo, hakika taa ya bwana Alpha ishanitoa ktk utustus nilio kuwa nao.mwisho npende kuwaomba wadau tuwe na moyo huo huo wakusaidiana ili kwa pamoja tusonge.