Ni rahisi sana kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda kiti cha ubunge Arusha.
matatizo yetu yanaendelea kuwa ni yaleyalembele kwa mbele
Ni rahisi sana kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda kiti cha ubunge Arusha.
matatizo yetu yanaendelea kuwa ni yaleyale
Usingetegemea maeneo km Ulanga, wilaya yenye miundo mbinu mibovu, shuleni hakuna, hospital hakuna halafu waje wachague upinzani, wanachagua CCM kwa sababu ya ujinga wao!
Kuna wasiwasi Arusha watu wakampa kura Monabani lakini wanaichukia CCM, na wakamyima Lema lakini wanaipenda Chadema. ( Najua hamjanielewa). ( Du hata na mimi sielewi)Ni rahisi sana kwa twiga kupenya kwenye tundu la sindano kuliko CCM kushinda kiti cha ubunge Arusha.
Kuna wasiwasi Arusha watu wakampa kura Monabani lakini wanaichukia CCM, na wakamyima Lema lakini wanaipenda Chadema. ( Najua hamjanielewa). ( Du hata na mimi sielewi)
Tangu nilipokuona umeanzisha urafiki na NYOSSO haya niliyategemea.Kuna wasiwasi Arusha watu wakampa kura Monabani lakini wanaichukia CCM, na wakamyima Lema lakini wanaipenda Chadema. ( Najua hamjanielewa). ( Du hata na mimi sielewi)
jiulize kwa nini maeneo yaliyo nyuma kimandeleo na kielimu ndiyo ngome za ccm? wajinga ndio waliwao!