Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,378
Asante. Ninaanza kubadilika baada ya ushauri mwingi nlopewa.Haya mkuuuu poleeee kwa maswaiba yaliyokupata but next tym uwe makin usiingie mzima mzima
Ndiyo, nimeshaonja utamu wa ushauri hapa.Sitosita kuja tena likitokea la kutokea.Ukiwa na tatzo usisite kulileta humu,... Tutasoma, tutaelewa,tutatafakari na tutakushauri.
Sante shosti!Karibu tena tena
Ukiwa na tatzo usisite kulileta humu,... Tutasoma, tutaelewa,tutatafakari na tutakushauri.
Shikamoo Mimi ananikumbusha nilivyokua nasubiri uji wa Foleni kidato cha nne!Mkuu ulivyoandika kwa hekma umenikumbusha Jf ya miaka ya 2009-2011. Japo nilikuwa naingia kama guest nilikuwa napenda sana ushauri ulivyokuwa ukitolewa.
Shikamoo Mimi ananikumbusha nilivyokua nasubiri uji wa Foleni kidato cha nne!
hako ka wimbo katamu maana nimebaki kukasikiliza tu hata sijasoma tena advice za watuHabari zenu wana mmu.
Juzi hapa nilieleza mikasa ya mahusiano niliyokumbana nayo.
Wana mmu walichangia mawazo na ushauri kwa wingi sana. Wengine walikuja mpaka inbox kuteta nami. Nawashukuru mno.
Baadhi ya mawazo naanza kuyafanyia kazi kisaikolojia kwa sababu bottomline ya mawazo yote ni kwamba njia ya maisha haikwepeki na mahusiano lazima yawepo tu.What a beautiful advice! Hakika naamini iko siku nami nitayafurahia mahusiano.
Nisiwachoshe, ila asanteni sana.
Miss Nai
IPO SIKU
Safari mpya ya mafanikio nimeshaianza mimi mwenyewe.Wee kaa pembeni takuletea ripoti!Bila shaka uko tayari tuianze safari mpya yenye kila dalili za mafanikio Naisujaki Lekangai
Don't do that baby Niko chini ya miguu yako!Safari mpya ya mafanikio nimeshaianza mimi mwenyewe.Wee kaa pembeni takuletea ripoti!
bila kusahau, tutakudhihaki pia (Ule utafiti wa kila watanzinia 4 mtanzania 1 ni kichaa?Ukiwa na tatzo usisite kulileta humu,... Tutasoma, tutaelewa,tutatafakari na tutakushauri.
AmenWimbo mzuri kweli, dada ubarikiwe