Habari yenu MMU members,
nawashukuruni sana wale wote waliochangia kunishauri kuhusu yule msichana ambaye alikuwa analala kwangu sometimes ila alikuwa anamuota ex boyfriend wake pamoja na kufanya mapenzi kabla ya kulala.
kisa hiki kilinitokea 2011 na demu nilikuwa nae kwa mwaka mmoja na nusu. members wengi walinishauri nimpige chini na nikomalie kitabu kwa sana. Basi demu nikampiga chini nikaanza kusaka noti na shule kwa sana tu. Sasa hivi nimempata demu mpya kama miezi minne hivi tuko pamoja, kwao teyari keshanitambulisha na wananikubali sana tu. Sasa juzikati katika pitapita zangu nikamuona ex wangu njiani kazeeka kwelikweli hehe maana aliyekuwa anamuota hajafanikiwa kumpata nasikia anatembea na kibabu fulani hivi kwa uroho wa maisha mazuri. kibabu kimekimbilia sweden na demu kachoka mbaya. mwanaume nilikomaa na kitabu na nilimaliza masters ya telecommunications & computer science engineering na nikapata bonge la kazi germany yaani safari za hapa na pale si haba. Sasa yule ex wangu kaniona kwenye mkoko wangu ananirukia basi mimi sikumkawiza nikamwambia dada mbona umezeeka hivyo akaanza kulia eti anajuta kwanini aliniacha heheh mademu wengine bwana. Mzee nilichofanya nikatoa pochi limejaa euro za kutosha na nikamtoa na euro 100 tu akajifanyie sopsop kiasi ili wanaume wengine wampende na nikamchana makavu kuwa hatuwezi kuwa pamoja never maana ninae teyari ninayempenda teyari. wadada sometimes kueni na subira kwa wapenzi wenu sio kama huyu ex wangu ambaye dunia inamfunza sasa hivi. shukrani sana JF members God bless u all!